Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mfalme Charles wa Tatu amezitaka Marekani na Uingereza kufufua upya ushirikiano wao wa muda mrefu wa kuvuka Atlantiki, katika hotuba iliyotolewa kwenye karamu ya kitaifa katika Ikulu ya White House…