Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kinara wa chama cha ODM Dkt. Oburu Oginga amekanusha madai ya kulazwa hospitalini wakati hali yake ya kiafya ikisuasua. Kinyume cha madai hayo yaliyochapishwa na baadhi ya vyombo vya habari…