Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tusker FC watakuwa na kibarua kigumu Jumapili alasiri watakapowaalika Singida Black Stars kutoka Tanzania, katika mkumbo wa kwanza mchujo wa pili kuwania kombe la Shirikisho barani Afrika. Wanabururi Tusker, walifuzu…