Samia Suluhu akabidhiwa cheti cha ushindi

BBC
By
BBC
1 Min Read
Samia Suluhu akipiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa cheti cha ushindi wa uchaguzi wa 2025 na Tume Huru ya Taifa nchini Tanzania (INEC), uliofanyika Oktoba 29, 2025.

Akizungumza Jumamosi wakati wa hafla hiyo, Mwenyekiti wa INEC amesema kwamba kulingana na Katiba ya Tanzania mshindi anahitaji tu kuwa na kura nyingi kuliko washindani wengine.

INEC ikitangaza mshindi mtokeo hayawezi kubatilishwa ama mahakamani au kupitia mahakama ya utatuzi wa mizozo ya INEC.

Rais Samia alipata ushindi kwa kupata kura 31,913,866 kati ya 32,678,844 zilizopigwa.

BBC
+ posts
Share This Article