Rais Ruto awateua wanachama wa tume ya kutoa msamaha kwa wafungwa

Dismas Otuke
0 Min Read
Rais William Ruto

Rais William Ruto amewateua wanachama saba wa tume ya kutoa msamaha kwa wafungwa .

Wanachama walioteuliwa ni pamoja na Dkt Lorna Mutoro Mumelo ,Patrick Musau Musila,John Kutswa Olaka,Dkt Edward Kibiwott Boor ,Askofu Humpton Rogers Namu,Bishar Maalim Abdullahi na Jane Wanjiru Kuria.

Wanachama hao watahudumu kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia Oktoba 5.

Website |  + posts
TAGGED:
Share This Article