Rais William Ruto Ijumaa adhuhuri amelipokea Kombe la Liga Kuu Uingereza katika Ikulu ya Nairobi.
Ruto amekariri kujitolea kwa serikali kukuza vipaji vya soka humu nchini kwa mamilioni ya vijana .
Kombe Hilo ambalo kwa sasa linashikiliwa na klabu ya Liverpool limo kwenye ziara inayofadhiliwa Na kampuni ya East African Breweries, kupitia kileo cha Guiness.