Serikali yatoa shilingi milioni 880 za mpango wa Inua Jamalii mwezi Septemba

Dismas Otuke
0 Min Read

Serikali imetoa shilingi milioni 880 za mpango wa malipo Inua Jamalii katika mwezi Septemba kuwakimu watu wenye mahitaji maalum katika Jamii.

Jumla ya watu 440,020, wamelipwa shilingi elfu mbili kila mmoja kwa mwezi Septemba.

Mpango wa Inua Jamii huwakidhi wazee walio na umri wa miaka 70 na zaidi,watoto yatima na walemavu wanaopokea shilingi 2,000, kila mwezi.

 

 

Website |  + posts
TAGGED:
Share This Article