WASHIKADAU KATIKA SEKTA YA AJIRA NA KAZI KUTOKA MATAIFA WANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC), WAMEIDHINISHA SERA NA MIFUMO YA KISHERIA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, INAYOSIMAMIA UHAMAJI WA WAFANYIKAZI, WAKATI WA MKUTANO WA KIKANDA WA WATAALAMU HUKO BUJUMBURA NCHINI BURUNDI.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/7f09baa7-1244-452d-b1b1-2a7c7bb61604