JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) IMEELEZEA HOFU YAKE DHIDI YA ONGEZEKO LA UHASAMA UNAOENDELEZWA NA MAKUNDI YA WANAJESHI KATIKA ENEO LA OPERESHENI YA PAMOJA YA KIKOSI CHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI HUKO KIVU KASKAZINI MASHARIKI MWA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC).
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/50974394-fa61-45dc-92a7-b26fe3861148