Marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC wataandaa kongamano mjini Arusha nchini Tanzania.
Miongoni mwa masuala yatakayojadiliwa katika kongamano hilo ni hali ya usalama katika kanda ya Afrika Mashariki pamoja na ripoti ya kamati ya kiufundi inayoshughulikia ombi la Somalia kujiunga na jumuiya hiyo.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/7c4fd316-3ea5-4d1d-a83f-bf02173fb822