Rais William Ruto ameongoza muda wa kuhudumu kwa mwenyekiti wa Baraza la kitaifa la mitihani nchini KNEC Profesa Julius Nyabundi.
Nyabundi ambaye amehudumu kwa muhula wa kwanza wa miaka minne kama mwenyekiti asiye na mamlaka atahudumu tena kwa miaka minne zaidi hadi mwaka 2030.
Profesa Nyabundi ataendelea kuhudumu pamoja na Afisa Mkuu Mtendaji wa KNEC David Njengere; atamaliza muda wa kuhudumu Juni 30 mwaka huu.