Matukio ya Taifa: Serikali yahimizwa kushughulikia suala la haki na usawa wa jamii

radiotaifa
0 Min Read

Serikali imehimizwa kutumia hatua mwafaka kushughulikia suala la haki na usawa wa jamii katika utendakazi wa umma. Haya yanajiri baada ya ripoti ya tume ya utumishi wa umma, PSC kufichua kuwa ni jamii 4 pekee kati ya 46 nchini Kenya zinazounda idadi kubwa ya wafanyakazi katika utumishi wa umma.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/d61d1e84-ebfb-4d86-990e-d3f5f77d6070

Share This Article