Baadhi ya magavana humu nchini wametishia kuwafuta kazi madaktari ambao wanaendelea na mgomo wao ambao umeingia siku ya 30 hii leo. Hata hivyo madaktari wamesema hawatarudi kazini hadi pale serikali itakapotimiza matakwa yao.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/034b52fc-989c-4417-a243-8f9cecf96158