Vyama vya wafanyakazi vina nafasi gani katika kutetea maslahi ya wafanyakazi? Ni suala ambalo wengi hawalifahamu kiundani ila Bwana Samuel Maticha ambaye ni naibu mwenyekiti wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadiri (KUPPET) kaunti ya Kisii, anacheleza umuhimu wa miungano ya wafanyakazi nchini na namna inaweza kuwafaidi wanachama wao. Je kuna ukweli kwenye methali hii, umoja ni nguvu?
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/615a0861-72e4-4c6e-97ec-aba55d35ef34