Ujio wa aina nyingine ya mbu anayesababisha ugonjwa wa malaria, unatishia vita dhidi ya kumaliza ugonjwa huo kufikia mwaka 2030. Humu nchini, kuna takribani visa milioni 3.5 na vifo 10,700 kila mwaka vya malaria, huku wale wanaoishi magharibi mwa Kenya wakiwa katika hatari kubwa ya kuugua malaria.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/2518376d-79a6-4ad6-9f1c-ed0745554c7e