Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imeweka mpango kabambe unaolenga kuangamiza kabisa ugonjwa wa malaria nchini kufikia mwaka 2030. Maambukizi ya ugonjwa huo nchini kwa sasa ni asilimia 6. Katibu katika Wizara ya Afya Mary…