Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mukhwaya ameongeza kuwa makubaliano ya awali kuhusu nyongeza ya mshahara yalisainiwa Novemba mwaka 2024 ,na walipaswa kusaini makubaliano mapya Februari mwaka jana lakini hilo halikutokea.