Zinga: Kampeni ya ‘Dere Smart’ inaazimia kuzaa matunda gani ? Fahamu

radiotaifa
0 Min Read

Halmashauri ya kitaifa ya usalama barabarani NTSA inaendeleza kampeni ya Dere Smart kama njia moja ya kutoa mafunzo na hamasa kwa wadau katika sekta ya uchukuzi , lakini kampeni ya Dere Smart inalenga kuanzia nini ?

https://art19.com/shows/zinga/episodes/5ed53eec-1e57-42e9-84bb-84120e91fba9

 

Share This Article