Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Safaricom Ethiopia, imetangaza kufikisha wateja zaidi ya milioni 15, huku ikiadhimisha miaka mitano tangu ianze kuhudumu mwaka 2022.
Safaricom inatoka huduma za mawasilaino nchini Ethiopia kwa kutumia mtandao wa 4G na 5G.
Aidha,kampuni hiyo itatoa huduma za mawasiliano nchini Ethiopia kupitia mitandao ya 2G,3G na 4G mjini Adis Ababa na miji mingine.
Safaricom Ethiopia ilianza kutoa huduma za mawasiliano mOktoba 6 mwaka 2022 huku ikiekeza takriban shilingi milioni 110 katika miradi ya jamii.
Kampuni hiyo ndiyo ya kwanza ya kibinasfi kupewa leseni ya kuhudumu nchini Ethiopia.