Zinga: Mpasuko na minong’ono katika mrengo wa Kenya Kwanza inaashiria nini?

radiotaifa
0 Min Read

Cheche za maneno baina ya viongozi wa serikali zimeshuhudiwa katika siku za hivi karibuni, lawama na utetezi wa serikali kwa wakati mmoja. Lakini mchambuzi wa masuala ya siasa Gibson Gisore anahoji kwamba cheche za maneno baina ya viongozi wa Kenya Kwanza si nzuri hasa wakati huu Kenya inapitia hali ngumu ya kiuchumi.

https://art19.com/shows/zinga/episodes/f02d4b53-c02f-4602-bd51-ae59748411f3

Share This Article