Mfumo wa ugatuzi umeonekana kupeleka maendeleo mashinani. Lakini ijapokuwa umesifiwa kwa kuchochea maendeleo hayo, kumekuwa na changamoto si haba, mojawapo likiwa swala sugu la ufisadi.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/5031a92a-5f6e-43c4-a2c1-77b6928d1aca
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.