Ni wazi kwamba mengi yanahitaji kufanyika ili kudhibiti Uchumi wa taifa hili ambao kulingana na wataalamu wa masuala ya uchumi haupendezi mno ikilinganishwa na hapo awali lakini pia wanasema kuwepo katika hali hii ya uchumi ni kutokana na deni la kitaifa ambalo wanahoji limekuwa kubwa mwaka huu, je kipi kifanyike ?wachanganuzi na waliobobea katika masuala ya Uchumi wanatueleza.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/d6b8eb7b-2aad-47ef-87e6-87a393563ec8