Kanali mstaafu Geoffrey Gitonga amesema taifa hili limepiga hatua kubwa katika kudhibiti makundi ya kigaidi, ambayo yamekuwa tishio kwa usalama wa mataifa mengi barani Afrika.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/2d27319f-f28a-4b63-a713-811ee8ca809e