Waziri Owalo awarai Posta Rangers kuikomoa Tuskers FC

Dismas Otuke
0 Min Read

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali Eliud Owalo ameitia hamasa klabu ya Posta Rangers kuwashinda Tusker FC katika mechi ya Ligi Kuu itakayochezwa kesho Jumatano.

Akizungumza jana Jumatatu alipoandalia timu hiyo dhifa ya chamcha, Owalo alikariri kujitolea kuboresha maslahi ya wachezaji wa timu hiyo ili wawe katika nafasi nzuri kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu ujao.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *