Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa zamani wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano Eliud Owalo ametangaza kuwa atagombea wadhifa wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 kwa chama kipya cha People's Prosperity Party (PPP). …