Watu 63 wamefariki dunia na wengine 40 wanapokea matibabu kutokana na majeraha ya moto uliozuka katika jengo moja mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini Alhamisi usiku.
Watu 200 wanakisiwa kuishi katika jengo hilo kulingana na shahidi.
Kulingana na maafisa wa usalama moto huop ulithibitiwa ingawa ulikuwa umesababisha uharibifu mkubwa .
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kufuikia sasa.