Vilabu vitano vya ligi kuu Kenya vyasaini mkataba wa jezi na A2Z Sports

Dismas Otuke
1 Min Read

Vilabu vitano vinavyoshiriki katika ligi kuu ya FKF vimesaini mkataba mkubwa jezi za kuchezea kwa muda mrefu na kampuni ya A2Z Sports House kuanzia kwa mechi za msimu huu 2024/2025 zilizosalia.

Timu zilisaini mktaba huo ni pamoja na deal include Posta Rangers, FC Talanta, Sofapaka, Nairobi City Stars, na Mathare United.Ushirikiano huo unalenga kupiga jeki harakati za kuimarisha biashara ya timu kupitia uuzaji wa jezi za mashabiki .

Akizungumza wakati wa kutia saini mkataba huo Meneja wa mauzo na ushirikiano katika kampuni A2Z Hebert Kungah amesema watakuwa wakitathmini kila msimu wa ufadhili huo huku wakilenga kujumuisha timu zaidi

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *