Ujio wa teknolojia ya kisasa unaendelea kubadilisha namna sekta ya afya inavyofanya kazi. Mvumbuzi Maxwell Githinji kutoka Creswave Ltd ametengeneza ametengeneza mfumo wa programu ya tarakilishi kwa jina E-Care Africa ambao unasaidia vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wagonjwa na wateja mbalimbali.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/eed85c66-55de-4205-910d-6ad04b5bb47c