Biden amteua mwanamke wa kwanza kuongoza jeshi la maji

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais wa Marekani Joe Biden amemteua kiongozi wa jeshi la maji mwanamke kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa hilo.

Lisa Franchetti amefanya kazi katika jeshio la majini nchini Marekani na pia katika kikosi cha maji kilichotumwa Korea Kusini .

Uteuzi wa Franchetti hata hivyo utasubiri kuidhinishwa na bunge la seneti.

Endapo ataidhinishwa Franchetti aliye na umri wa miaka 38, atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza jeshi la maji na pia mwanamke wa pili katika historia ya Marekani kuwa na mamlaka ya nyota nne .

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *