Urusi yadai kudhibiti kijiji kilichopo mashariki mwa Ukraine

Martin Mwanje
0 Min Read

Wizara ya Ulinzi ya Urusi leo Jumatatu imedai kudhibiti kijiji kimoja kilichopo mashariki mwa Ukraine. 

Kijiji hicho kipo karibu na mji muhimu wa kimkakati wa Pokrovsk.

Wizara hiyo katika mkutano na wanahabari imesema imekidhibiti kijiji cha Grodivka, ambayo ni makazi yaliyopo katika eneo la Donetsk lililopo karibu na mji wa Pokrovsk.

Vikosi vy Urusi vinapiga hatua kuelekea kjiji hicho muhimu cha usafiri.

Share This Article