Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Afya imetia saini mkataba na serikali za kaunti kufanikisha utekelezaji wa Taifa Care, kwa lengo la kuafikia Huduma za Afya kwa Wote (UHC). Katika mkutano huo ulioongozwa kwa…