Washukiwa watatu wa ujambazi wakamatwa Nairobi

Kwenye operesheni hiyo ya kijasusi, polisi walipata bastola aina ya Retay Falcon iliyokuwa na risasi tatu na pikipiki mbili, zinazoaminika kutumika katika shughuli za ujambazi.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.