Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanagenzi zaidi ya 6,784 katika sekta ya afya wamekabidhiwa barua za kuhudumu katika vituo mbalimbali vya aftya kote nchini. Wataanza kuhudumu Julai 1 mwaka huu chini ya kundi la uanagenzi…