Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washikadau na viongozi wametakiwa kuwekeza zaidi katika miradi itakayowawezesha vijana kujiendeleza kiufundi. Mwakilishi wa Wanawake katika kaunti ya Machakos, Kamene Kasimbi, amesema vijana wataweza kupunguza pengo la ajira ikiwa watapatiwa…