Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanafunzi 8 wanaoshukiwa kusababisha mkasa wa moto katika shule ya Utumishi Girls Academy mjini Gilgil, kaunti ya Nakuru mwishoni mwa mwezi Mei watafikishwa kizimbani leo Jumatano. Kesi dhidi yao itatajwa…