Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko hapa nchini imefika 62, hayo ni kulingana na Wizara ya Mambo ya Ndani. Kupitia kwa taarifa Ijumaa alasiri, wizara hiyo iliongeza kuwa idadi…