Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Vilio na majonzi vilitanda katika kijiji cha Towokayeni, eneo la Kakuma katika kaunti ya Turkana, wakati wa hafla ya mazishi ya mwanafunzi wa Gredi ya 10, Fortune Aimaya Losike. Fortune…