Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ni afueni kwa Waziri wa zamani wa Afya Susan Nakhumicha baada ya kuambulia uteuzi katika mabadiliko ya hivi punde yaliyofanywa serikalini. Rais William Ruto amemteua Nakhumicha kuwa Mwakilishi wa Kudumu…