Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la kimaendeleo la IGAD, limemteua Rania Mustafa Hassan kuwa kaimu kiongozi wa ujumbe wa Sudan. IGAD imesema hii ni hatua muhimu ya kurejelewa upya kwa ushirikiano kati ya IGAD…