Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wito umetolewa kwa Wakenya kuishi kwa amani na kuwakatalia mbali viongozi wanaowaganywa kwa misingi ya kikabila. Wito huo umetolewa na Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang'ula na mwenzake wa…