Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Thiaw aliye na umri wa miaka 45, anakumbukwa sana kwa kuwaongoza wachezaji kuondoka uwanjani katika fainali ya kombe la AFCON,Januari mwaka huu kupinga penati iliyopewa wenyeji Morocco.