Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa jaji Mkuu wa Tanzania. Jaji Masaju anachukua nafasi ya Profesa Ibrahim Hamis Juma ambaye…