Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mama Taifa Rachel Ruto ameongoza juhudi za ukarabati wa shule ya msingi ya Unoa kaunti ya Makueni, hii ikiwa hatua kubwa katika kuboresha mazingira ya msomo kwa wanafunzi na jamii…