Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Nishati na Petroli Opiyo Wandayi, amethibitisha kuwa Kenya ina mafuta ya kutosha, na kuondoa hofu kuhusu uhaba wa bidhaa hiyo muhimu hapa nchini. Kulingana na waziri huyo, uhaba…