Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto aliendeleza kampeni zake za kuwashawishi wapiga kura wa eneo la Nyanza kumuunga mkono kwa muhula wa pili Ikuluni katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Siku ya Jumapili,…