Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, ameelezea masikitiko yake kuhusu ongezeko la visa vya kihuni kwenye mikutano ya kisiasa akionya kuwa inahatarisha demokrasia huku taifa linapojiandaa kwa uchaguzi mkuuu…