Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi, ametoa wito kwa Wakenya kudumisha amani, kuimarisha taasisi za kidemokrasia na kukataa siasa za migawanyiko. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la Redeemed…