Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa watano wa mauaji ya mbunge wa Kasipul marehemu Charles Ong’ondo Were, watafikishwa mahakamani hii leo Jumatano. Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Ingonga, siku ya Jumanne aliidhinisha mashtaka ya…