Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la Vyombo vya Habari hapa nchini (MCK), limetoa wito kwa wanahabari kutekeleza maadili ya hali ya juu wanaporipoti kuhusu maandamano ya Gen Z Jumatano Juni 25,2025. Kupitia kwa taarifa,…