Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Joseph Mwanjala Serikali imewahakikishia wakulima katika eneo la kaskazini mwa Bonde la Ufa kuwa hakutashuhudiwa upungufu wa mbolea ili kuwawezesha kushiriki upanzi kwa wakati mwafaka kama njia moja…